Omba na Rudisha Maeneo
Wakati wachapishaji wanapofanya kazi kupitia mgao wao wa maeneo, wanaweza kutaka
kurudisha mgao uliopo au
kuomba mgao mpya.
Hili linaweza kufanyika kwa urahisi kutoka kwenye mtazamo wa
Maeneo Yangu ambao wanakutana nao mara tu wamelogini kama inavyoonyeshwa kwenye picha hapa chini.
Wachapishaji wataweza
kutoa taarifa kwa
wasimamizi wa eneo kuhusu mgao wao pamoja na uwezekano wa kuacha
ujumbe kama inavyoonyeshwa hapa chini.